Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Kabale Hoima nchini Uganda hadi Chongoleane Tanga umefungua na utafungua fursa nyingi kwa watanzania. Hii ni kutokana na ukweli kuwa asilimia 80 ya bomba hilo litapita Tanzania.